TANZANIA

Waziri Mkuu wa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa kumuwakikisha Dk.Samia kilele cha wakuu wa Serikali kutoka mataifa ya Afrika na Urusi

JULAI 25, 2023
Border
news image

Mhe.Kassim Majaliwa na Mkewe Mary Majaliwa wakiongozana na Balozi wa Tanzania nchini Urusi Fredrick Kibuta (Kushoto) baada ya kupokelewa kwenye uwanja wa Ndege wa Pulkovo, St. Petersburg, Urusi Julai 25, 2023. Mheshimiwa Majaliwa atamuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano wa pili wa kilele baina ya wakuu wa Nchi na Serikali kutoka mataifa ya Afrika na Urusi.

Oliver G Nyeriga - MTV Tanzania