DRC/BENI

Wasichana Na Wa Vulana Mjini Beni Wa Himizwa Kuji Tegemea Katika Ujasiriamali Wakati Ya Likizo

JULAI 24, 2023
Border
news image

AKIBA MULIRO Gloria msichana wa BENI,KIVU KASKAZINI mashariki mwa jamhuri ya kidemokrasia ya Congo ahimiza wasichana wote kujitegemea kifedha katika ujasiriamali.

Ni tangu miaka mingi ndipo msichana huyo amekuwa akifanya kazi ya mkono ya kutengeneza vitu vya plastiki katika mji wa BENI.

Katika mazungumuzo na malivikatvnews.com AKIBA MALIRO Gloria, adai kua amechukua hatua hiyo kwa lengo yaku jitegemea kifedha kwa mawazo yaku changia kwa kiwango kikuu katika maendeleo ya maeneo ambako aishi

Pia naku punguza hatari zinazo jitokeza wakati huu wa likizo kwa wasichana na wa vulana wa umri ya chini naku inua wavulana ambao wanafaidika kwa usimamizi wake katika muda huu.

Katika shughuli hii ya kutengeneza mikoba yenye shanga, anawahimiza wasichana wadogo kujifunza kazi itakayo wa fanya wasichana na wavulana kuji tegemea ili ku hepuka hali mbaya ya kimaisha; GLORIA MALIRO asema kua huu Mchango utachangia katika kupambana na uhalifu dhidi ya watoto.

AKIBA MALIRO GLORIA Ahitaji msaada muhimu utayo musaidia kwaku endelesha kazi hio ikiwa ni Ujasiriamali inayo kua msingi kwake kwaku jitegemea hapa akizidisha imani yake kua ni muhimu vijana ku himizwa naku shughulika kwa malengo yaku kujiongezea kipato ili kunufaika naku jitajirisha masipo egemeyo hasa katika jamii,na kwa maendeleo ya mji wa Beni ambako kwa shuhudiwa na visa nyingi vya ukiukaji.

Stephanie MBAFUMOJA; MTV/Beni