DRC

Tuko Katika Jamhuri Ya Kidemokrasia Ya Kongo Provence Ya Kivu Kaskazini Mji Wa Goma Tarehe 25 Julai 2023

news image
MTV
JULAI 25, 2023
Border
news image

Tuko katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Provence ya Kivu Kaskazini mji wa goma tarehe 25 Julai 2023 l. Timu ya Taifa ya mpira wa kikapu ya wanawake ikielekea Jamhuri ya Rwanda kushiriki michuano ya Kombe la Mpira wa Kikapu Afrika. Timu hii imejielekeza nchini Rwanda kushiriki mechi ya kirafiki itakayo fanyika Kigali.




Picha MTVCDRC Augustin Wamenya