DRC

Rais Wa Congo Felix Tshiekedi Akagua Ambulance Zitakazo Tumiwa Wakati Wa Michezo Ya Francophonie Mjini Kinshasa

JULAI 25, 2023
Border
news image

Kwenye ukurasa wake waziri wa habari wa Congo na msemaji wa serikali Patrick Muyaya asema serikali imejipanga kila wizara kwa makesha ya kuanzishwa kwa michezo ya Francophonie. Namnukuu (( Nakala ya aina ya Ambulance inayokidhi viwango vya kimataifa kwa ajili ya huduma ya haraka ya wanariadha inapotokea ajali. Kila kitu kiko mahali. Parick Muyaya.))Hii ni kuhakikisha kwamba maandalizi na mipangalio kwa mapokezi ya wageni toka mataifa mbali mbali ipo tayari Mjini kinshasa.

AM/MTV