DRC

Olimpiki, DRC ime tunukiwa medali 6 ikiwemo ya zahabu Moja

JULAI 31, 2023
Border
news image

Ni tukio la furaha kwa jamuhuri ya kidemokrasia ya Kongo , ku tunukiwa medali ya kwanza ya zahabu tangu michezo ya Olimpiki inayo shirikisha mataifa zinazo tumia kifaransa kama lugha rasmi kuanza jijini Kinshasa Nchini DRC , ni kauli ya waziri wa habari pia msemaji wa serikali ya Kongo Bwana Patric Muyaya.

Kwa tabasamu kubwa msemaji wa serikali ya DRC alisema
"Ni heshima kwetu kwa kumkabizi Andy Mukendi, medali ya kwanza ya zahabu katika michezo ya mieleka katika kundi la wana mieleka wenye uzito wa 79 . Kuna pia medali zingine 5 zilizo tiwa katika kikapu chetu katika michezo ya mieleka ; Sifa sana na wana michezo wetu tusiache Bendera kushushwa" alisema Patric Muyaya uku aki kumbatiana na wana michezo.

Erickson Luhembwe - MTV BENI