Ni tukio mbaya kwa wanamziki kumpoteza Ismaël Katabanga mwanamuziki kijana amabe alifariki hapo jana na leo mwili wake ukiwa ndio umepatikana .Ismael Katabanga amefariki kwa kuzama alipokuwa akirekodi video yake katika ziwa Kivu wilayani masisi.
Ismale Katabanga ni kijana aliye kuwa wa umri wa takriban miaka 19 alifariki kwa kuzama kwenye ziwa dogo la Sake linalojulikana kwa jina la Lac Base lililopo kuelekea eneo la Butindika, baada ya kujirekodi kwa video yake huko Kamuronza ndani ya mtaa wa Masisi Jumanne hii Julai 25, 2023.
Duru yetu imetuarifu kuwa mwanamziki huyo anajulikana katika eneo la. Watu aliokuwa nao walikamatwa haraka na kundi la Wazalendo kwa uchunguzi zaidi, amesema Kingandi Shebaanga, mkuu wa bunge la vijana wa Kamuronza.