DRC/Ituri

Mwana jeshi mmoja wa DRC ahukumiwa hadi kifo gerezani baada ya kushambulia watu 13 kwa risasi mkoani Ituri

JULAI 27, 2023
Border
news image

Mahamaka ya kijeshi mkoani Ituri ime muhukumu kifo askari jeshi moja wa jamhuri ya kidemokrasia ya Congo .Hii ikiwa fundisho kwa wanajeshi wengine watakao kwenda kinyume na sheria ama maadili ya kijeshi Kichapo hicho cha mahakama kime askari huyu amehukimiwa kwa mwauaji ya watu 13 alio piga risasi miongoni mwao watoto 9 katika kijiji cha TCHOMIA wilayani DJUGU mashariki mwa jamhuri ya kidemokrasia ya Congo.

Muhukumiwa akilazinishwa kulipa fidiya ya dola ya marekani milioni moja kwa jamaa ya wahanga.

Constan Same; Mtv/Bunia