DRC

Muungano Wa Jeshi La Congo FARDC Na UPDF Kivu Kasakazini Watangaza Kuendelea Kuwapa Pigo Waasi Wa ADF Na Hofu Kubadilika Pande

AGOSTI 4, 2023
Border
news image

Muungano wa Jeshi la Congo FARDC na UPDF Kivu kasakazini watangaza kuendelea kuwapa pigo waasi wa ADF na Hofu kubadilika pande.

Luteni kanali Mak Hazukay msemaji wa operesheni za Pamoja kati ya UPDF jeshi la Congo na FARDC ASEMA Kundi la wagaidi na wahalifu walizuiliwa Ijumaa hii tarehe 4 Agosti '23 na vikosi vya muungano wa FARDC-UPDF katika bonde la Mwalika wilayani Beni Kivu kasakazini karibu na muto semuliki unao patikana katika secta ya Rwenzori kwenye makutano ya mito ya Talya na Semuliki.

Mwanamke na mtoto wake wote waliokolewa wakati wa operesheni za kivita na silaha moja.

Tangu walipo shambulia sule moja Kasese upande wa Uganda UPDF imeongeza nguvu Zaidi kuwatafuta wagaidi kutoka kundi la ADF ,ADF ikiwa mchanganyiko wa Raia wa Congo,Uganda,Tanzania,Rwanda,Burundi,Kenya n ahata Soudani Kusini na Misumbizi wengi wakidanganywa ama kutekwa na kulazimishwa kujiunga na kundi hilo linalo husika na mauaji ya watu wilayani Beni Kivu kaskazini na sehemu moa ya Ituri.

AM/MTVNEWS