TANZANIA

Mkurugenzi Kigoma/Ujiji Bi. Mwantum Apiga Marufuku Ujenzi Holela

news image
MTV
JULAI 24, 2023
Border
news image

Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigoma/Ujiji Bi. @mgonjamwantum amewata Wananchi na Wakazi wa Manispaa hiyo kuepuka ujenzi holela bila kufuata taratibu za Mamlaka ya Upangaji Mji

Ameyasema July 25, 2023 alipofanya ziara katika Kata na Mitaa kukagua na kudhibiti ujenzi holela bila kuwa na kibali cha ujenzi huku akisema ujenzi holela unaleta athari hasi katika upangaji wa Mji ikiwemo uvunjaji wa miundombinu mbalimbali

Aidha amewataka Wananchi kufuata taratibu za kupata kibali cha ujenzi kwa kufika katika ofisi ya Mkurugenzi idara ya Mipangomiji, na Ujenzi

Kupata taratibu za kupata kibali cha ujenzi bofya www.kigomaujijimc.go.tz au https://kigomaujijimc.go.tz/how-do-i-single/hatua-za-kupata-kibali-cha-ujenzi-manispaa-ya-kigoma-ujiji

MTV