DRC

Jamhuri Ya Kidemokrasia Ya Congo Yatangaza Kuwa Tayari Kupokea Wachezaji Kutoka Mataifa Inayo Zungumuza Lugha Ya Kifaransa (Francophonie) Mjini Kinshasa

JULAI 25, 2023
Border
news image

Akizungumuza na wanahari Mjini Kinshasa waziri wa habari na msemaji wa aserikali Patrick Muyaya amesema kwa sasa kila kitu kipo tayari kuokea watu toka sehemu mbali mbali ,watu ambao wanahitaji kuhuzuria na kufaria michezo na tamasha za francophonie.Muyaya amesema hayo kukiwa kuna baki siku 13 kabla ya kufunguliwa Rasmi kwa michezo hiyo itakayo huzuriwa na watu wengi .Michezo hiyo ya Francophonie iliyowekwa chini ya ishara ya matumaini, waziri Muyaya amesema kwasasa uhamasishwaji umeruhusiwa kwa wakaazi wa Mji mkuu wa Congo Kinshasa nakuomba wakaazi kujivunia michezo hiyo muhimu kwa DRC ili Congo inatazamwe upya ,kuliko kudhani kwamba DRC ndio nafasi ya vita bali kuna namna nyingine ya kuendeleza taifa hili.

Waandalizi wamesema watu wengi wanasubiriwa Mjini kinshasa akiwemo Louise Mushikiwabo Secretary-General of the Organisation internationale de la Francophonie. Alipo Zungumuza na kwenye ukurasa wake Francine Muyumba Congolese activist alisema hii ni bahati kubwa kwa DRCongo na vijana wake na taifa nzima kupata fursa kama hii.Vyombo vya usalama vikiwa vimeimarishwa kote Mjini Kinshasa kwakuhakikisha usalama wa watu na wageni unalindwa vizuri .

AM/MTV