Habari

DRC
Abiria Walio Kwamba Katika Meli Kwenye Ziwa Kivu Wawasili Goma Baada Ya Wasiwasi Ilio Tokea Hapo Jana Ziwani

JULAI 22, 2023
Border
news image

Abiria walio kwamba katika meli kwenye Ziwa Kivu wawasili Goma baada ya wasiwasi ilio tokea hapo jana ziwani.Abiria wa Meli i ya Emmanuel 3 waliokolewa na Meli nyingine ya Anglebert baada ya saa kadhaa bila msaada kwenye maji ya Ziwa Kivu.

news image

Zaidi ya abiria 100 na baadhi ya bidhaa walifika jioni katika jiji la Goma.Hii hutokea kwa mara kadhaa nchini katika maswala ya kiufundi kwanye meli.Uongozi wa Meli hiyo ukipongeza wateja kuendelea na safari na kutumia meli hii bila tatizo.

Aline Kataliko Goma DRC