JIONI - MTVNEWS

Katika matangazo ya leo nikwamba serikali ya DRC yaomba M23 kusalimisha silaha na kujiunga katika mchakato wa mani na usalama, pamoja na hali yakiusalama wilayni Beni hayo na mengine sikiliza zaidi.

SEPTEMBA 25, 2023
Border
Serikali ya DRC yaomba M23 kusalimisha silaha na kujiunga katika mchakato wa mani na usalama

| Oliver G Nyeriga

Kando na haya, endelea kuskiliza matangazo zaidi kutoka MTV Radio

Rudi kwenye Radio