DRC WATSA /LA HAUT UWELE

MADEREVA WOTE KATIKA ENEO LA MKOA MARIMIZA MUTAANI WATSA WAOMBWA KUNUNUA DOKIMENTI ZA VIOMBO VIAO VYA USAFIRISHAJI...

JANUARI 19, 2024
Border
news image

Madereva wote wa pikipiki pamoja na magari katika mtaa wa Watsa hususani mukoani Marimiza waombwa kulipa dokimenti za viombo vyao vya usafirishaji kipindi hiki cha mwaka wa elfu mbili ishirini na ine.

Huo ni wito wa kiongozi wa ausikaye na mambo ya usafirishaji na njia za mawasiliyano Transcom aliyeko Gugutali AGRIKOMA kwa Jina maarufu mama Transcom alinena hayo kwa niaba ya kiongozi wa kitengo cha polisi cha mkoa wa Marimiza bwana Albert Soronga Samuel hii siku ya alahamisi tarehe kumi na nane January elfu mbili ishirini na ine alipo kuwa akizungumuza na waandishi wa habari.

Alipata muda muafaka wa kuwajulisha wakaaji wa eneo hilo ya kwamba sehemu moja ya pesa hizo Zinazo kusanywa zinaingizwa ndani ya mufuko wa serekali na sehemu nyingi ne ya baki jimboni kwa ajili ya maendeleo ya jimbo... Sauti

NDIWELUVULA BIN MUTUME MTV NEWS Online