DRC - Kivu kaskazini

Wanahabari katika Mji wa Goma wapata mafunzo kuhusu umuhimu wa Chanjo kwa Watoto wachanga Nchini DRC

AGOSTI 24, 2023
Border
news image

Wanahabari katika Mji wa Goma wapata mafunzo kuhusu umuhimu wa Chanjo kwa Watoto wachanga Nchini DRC .

wa dose sifuri(zero dose)kwa watoto hii tarehe ishirini na tatu agosti,program hii ilitolewa na PEV.programme élargie de vaccination.

Ni waandishi wa habari Zaidi ya thelathini wanao tumia mitandao kutoka Mjini Goma Kivu Kaskazini ndio walifunzwa na kujuzwa kuhusu namna ya kuhamasisha wakaazi na wazizi kuhusu umuhumi wa Chanjo kwa Watoto ,chanjo ikiwa muhimu katika kusaidia afia ya Watoto wanapo komaa wizara ya afia ikisema kuna watoto*walio pata chanjo katika mikoa ya Haut-Katanga, Kongo-central,Kivu Kusini, Kivu Kaskazini, Maniema, Tanganyika na Kasai central.

Wakati wa mkutano mazungumzo yalikuwa makali kati ya waandalizi wa washa hio na waandishi wa habari kuhusu masharti fulani muhimu ambayo lazima ya julikane kabla ya kuandaa Habari yake, hasara za dozi sifuri na wale ambao hawajachanjwa .

"Kwa Sasa Kiwango cha chanjo Kivu Kaskazini dhidi ya Covid19 ni asilimia 6% wakati Rwanda ni karibu asilimia 70 au asilimia 80%, ndiyo maana Rwanda hailazimishi tena vipimo vya covid tofauti na nchi yetu akisema mmoja wa wakufunzi .

Yote hayo ni kwa sababu jamii bado haijafahamu umuhimu wa chanjo, ndiyo maana ninyi waandishi wa habari mna jukumu kubwa la kutekeleza", alisema Daktari Stéphanie Hans, daktari mratibu wa programu ya chanjo ya chanjo Kivu Kaskazini

Dactari Hans amesema Waandishi wa habari wanapaswa kuwa wangalifu wakati wakunadaa matangazo yao kuhusu vipindi vya afia na kuheshimu kanuni za maadili za mwandishi wa habari wa Kongo, alisisitiza mtaalamu wa uandishi wa habari Freddy Bikumbi ambaye alifasiria kuhusu uandishi wa habari hasa kwenye maswala ya afia.

Ukumbuke kwamba waandishi wa habari walioshiriki katika washa hii, wataweza kujihelekeza uwanjani tarehe moja Septemba kwa ajili ya utayarishaji wa kipindi kuhusiana na chanjo.

Nadege Kahindo MTV