DRC NYASI ITURI

WAKIMBIZI WALIO KIMBIA MAPIGANO KUTOKA KWA MAKUNDI YA WAASI NDANI YA KIJIJI NYASI WALALAMIKIA HALI NGUMU YA MASIAHA KAMBINI.

news image

Mmmoja wa wakimbizi alie zungumuza na MTV ONLINE baada ya kuishi mda mrefu kambini ambako aishi na wakimbizi wengine walio kimbia makaazi yao kutokana na mapigano ya mara kwa mara mfano waasi wa codeco na wale wanao jiita wa Zaire .

Mambambano hayo yali sababisha kuhama kwa watu wengi ambao kwa sasa waendeleya kupitiya shida nyingi kwani hawana musaada. Wakimbizi hawa Waomba kwa serekali ya Kongo pamoja na wa watu wenye niya nzuri kuwajia musaada.

Viongozi wa shirika la rahiya ya mahaliya la omba kwa viongozi wa serekali Ya DRC kujitahidi kwa ajili ya kumalizana uhasama na uasi eneo hilo.

NDIWELUVULA BIN MUTUME MTV  ONLINE