DRC

VYAMA VYA KISIASA VYAANZA KUPIGANIA UWINGI WA CHAMA TAWALA

JANUARI 24, 2024
Border
news image

VIOGO WA SIASA ZA DRC HASA KUTOKA MASHARIKI WAUNDA MUUNGANO KWA AJILI YA KUPATA UWINGI WA VUAMA TAWALA (PACTE POUR UN CONGO RETROUVE PCR Q) ...

Muungano huo ambao una kuwemo chama AA/"UNC-AVK2028, A-B50, AAAP-AMCS, CODE-CDER ume undwa kunako muungano takatifu wa taifa la Kongo (PACTE POUR UN CONGO RETROUVE PCR) ukisimamiwa naye Vital Kamere, Julien Paluku Kahongya, Tony Ngandu naye Jean Lucien Bussa

Muungano huo ambao una kuwemo Wana bunge wa taifa miya moja na moja pamoja na Wana bunge wa kijimbo miya moja ishirini, muungano huo ambao una kuwa na malengo ya kukamilisha maono yake Rais Felix Antoine Tshisekedi Tshilombo katika kipindi hiki cha uongozi wake kwa muhula wake wa pili, ambayo yataegemea kutenda bila kuongea ongeya. Na kuifanya taifa la Kongo liwe lenye nguvu pamoja na mafanikiyo mengi aliripoti Vital Kamere kiongozi wa chama AA /UNC-AVK2028

Muungano huo ambao una kuwemo vigogo viongozi wana siasa inchini DRC watapiganisha ju chini kwa kubadilisha maono yake Rais Felix Antoine Tshisekedi Tshilombo kwa kufikiya uongozi bora na kujenga upia taifa lenye nguvu pamoja na mafanikiyo mengi alinena Julien Paluku Kahongya kiongozi wa chama AAB-50.

Kwa ajili ya kukamilisha na kuyafikiya malengo ya maono yake Rais Felix Antoine Tshisekedi, ina bidi mbinu mbali mbali kwa uongozi alinena Jean Lucien Bussa kiongozi wa chama CODE-CDER inchini DRC.

Kwa upande wake Tonny Ngangu akiwa muakilishi mkuu wa kiongozi wa chama na moja miongoni mwa viongozi wa AAAP-AMCS aliweza kunena ya kwamba, muungano PACTE POUR UN CONGO RETROUVE PCR utasapoti Rais Felix Antoine Tshisekedi kwa kuheshimisha usawa ndani ya jamii pamoja na jenda inchini DRC.

Kuzindua rasmi muungano huo, ni matokeo ya mukataba wa kisiasa katika istoria ya Kongo ili ripoti tangazo rasmi lililo tangazwa mwisho wa uzinduzi huo.

NDIWELUVULA BIN MUTUME MTV Online