DRC

Viongozi wa Mkoa wa Kivu Kaskazini na kusini wahitimisha mkutano wa ushirikiano wa Viongozi wa Mikoa

DESEMBA 30, 2024
Border
news image

Baada ya kukutana kwa siku tatu mfululizo Mjini Bukavu Viongozi wa mikoa mitatu yaani Kivu Kaskazini, Kivu Kusini na Maniema wakubaliana kushirikiana kwa ajaili ya kupambana na wa hali wanao yumbisha ulinzi wa mazingira katika Mbuga la kahuzi Biege kwa ajili ya ulinzi bora wa Maizngira.

Magavana wa mikoa hiyo wamekubaliana Juma pili dec 29 2024 kuimarisha ushirikiano , Profesa Jean Jeacques Purusi na Meja Jenerali Cirimwami Nkuba Peter, Kaimu Gavana wa Kivu Kaskazini wote wame weka makubaliano ya ushirikiano wa mikoa yao.

Kwakuhitimisha mkutano wao viongozi hao wamendesha mkutano na wanahabari Mji Mjini Bukavu na kukubaliana kushirikiana katika miradi mbali mbali.

AM/MTV News DRC