DRC

serikali yatangaza kuwalinda vijana na wanawake kuhusu maambukizi Pamoja na wakati wa kujifungua.

Aprili 29, 2024
Border
news image

Katika ziara ya kujitukiza katika kituo cha afia cha CEBECA Ndgo Mjini Goma Waziri wa Afia na mshahuri wa Gavana wa Kivu Kaskazini Prisca Luanda aomba waaguzi na madactari kujifunz aujuzi Zaidi katika afia ya wazazi na wasichana kwani bila afia hakuna uzima . Prisca Lunda . Wauguzi kwa upande wao wakipongeza hatua ya serikali na CARE International kuwapa mafunzo baadhi ya ma dactari na wauguzi kuhusu namna ya kulinda mwanamna anapo jifungua na kuwakinga wanawake dhidi ya maambukizi.

Vijana wakiwa ndio wanalengwa na programe ya CARE International kwa ajili ya kulinda afia ya mwanamke na mtoto tulizungumuza nae Gu kibra kiongozi wa divisheni ya vijana kivu Kaskazini. GY KIBIRA NDOOLE kiongozi wa Divisheni ya Vijana Kivu Kaskazini asema mradi wa kuhamasisha vijana ni muhimu sana kwa uma hasa kwa vitajana. Shirika la kimataifa ya CARE Internationla lilianzisha mradi wakuunga mkono baadhi ya vituo vya afia kuhusu naomna yakuonkoa Watoto na mama wakati wa kijifungua ama kupotea kwa mimba bila hiari ya wasichana ama akina mama .mradi unaungwa mkono na wauguzi akisema mkuu wa afia zone DE sante Karisimbi.

AM /MTV DRC ONLINE