Nyiragongo

Serikali ya Congo yakuwa tayari sasa kuwazika watu walio uwawa na bomu toka waasi wa M23 mashariki mwa Congo.

MEI 14, 2024
Border
news image

Akizungumuza na wanahabari kwenye shamba za wafu wilayani Nyiragongo Kivu Kaskazini ,Albert Fabrice Puela Waziri anae tete haki za bidaamu katika serikali ya Kinshasa amesema kwa sasa serikali ya congo ipo tayari na kuhakikisha mazishi ya watu walio uwawa na waasi wa M23 na washirika wao itafanyika pa Kibati wilayani Nyiragongo Kivu Kaskazini .

Puela amesema kaburi zote kwa sasa zipo tayari kupokea mili ya watu thelathini na tano 35 wote wakiwa wakimbizi walio uwawa tarehe tatu na watu wa M23 walipo shambulia kambi za wakimbizi ikiwemo moja ya Mugunga.

Fabrice Puela amesema kaburi hizi ni halama ya kuonesha namana mataifa Jirani inayo saidia uasi mashariki mwa umekuwa ikihusika namauaji ya watu Makobola,Tingitingi,Kishishe,Goma kwa sasa na maeneo mengine ambayo icc lazima kuanzisha uchunguzi Zaidi kuhusu maafa haya ambayo inatekelezwa kwa raia wa Congo .

Shirika za kiraia Nyiragongo kupitia muwakilishi wake Mambo kawaya ikiomba umoja wa Matifa kuacha kuunga mkono watu wanao waua raia wmashariki mwa Congo akisema Mambo kawaya .

AM /MTV DRC ONLINE