TANZANIA

Rais wa Tanzania Dk. Samia Amuapisha Mkurugenzi Usalama wa Taifa

AGOSTI 28, 2023
Border
news image

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. DK. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Balozi Ali Idi Siwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Agosti, 2023.

Oliver G Nyeriga - MTV Tanzania