DRC - KIVU KASKAZINI

Mwana habari AUSTERE MALIVIKA wa VOA na ITV akiwa muanjilishi wa kituo cha habari MTV/DRC azuiliwa Aki fanya kazi yake mjini goma kivu kaskazini

AGOSTI 30, 2023
Border
news image

Mwana habari AUSTERE MALIVIKA ame zuuliwa naku kamatwa na jeshi la ulinzi wa rais wa DRC mapema hii leo jumatano 30 aogasti wakati alipokua akichukua pica ya maandamano ya wazalendo jijini Goma kivu kaskazini mashariki mwa jamhuri ya kidemokrasia ya Congo.

Hata hivyo, kwa furaha, tunaripoti kwamba AUSTERE MALIVIKA ameachiliwa huru baada ya kipindi kifupi cha kuzuiliwa. Hii imeleta matumaini kwa waandishi wa habari na wapenda uhuru wa vyombo vya habari, lakini pia inasisitiza umuhimu wa uhuru wa waandishi wa habari na haki ya kufanya kazi yao bila vizuizi vyovyote.

Germain Hassan / MTV-DRC