DRC

Mradi wilaya 145 ; Vituo vya afya vilivyo teketezwa na waasi wa ADF wilayani Beni vya jengwa upya na serikali

AGOSTI 16, 2023
Border
news image

Kituo cha afya mjini musuku kwenye umbali wa zaidi ya kilomita 20 magaribi mwa Oicha mji mkuu wa wilaya ya Beni kimejengwa upya kupitia miradi "Wilaya 145" .

Mkuu kiongozi wa jimbo la Afya la Oicha Daktari Chadrac SOHERANDA ana dhibitisha

" Kituo hicho kili horozeshwa kwenye mpango wa "Wilaya 145" katika sekta ya afya ni kituo pekee kilicho jejwa katika jimbo hili la afya kime jengwa vizuri , ni atua kubwa sana nazani kuna vifaa vitakavyo letwa miongoni kitanga kwajili ya wanawake wajawaziko kwa kusaidia wakati wa kuzaa "

Duru za kiserikali zile dai kwamba kituo hicho kili wahi kuporwa kiisha ku teketezwa na waasi wanao zaniwa kuwa ni ADF na washirika wao zaidi ya mwaka mmoja uliopita wilayani Beni mkowani Kivu kaskazini .

Daktari wa Jimbo la Afya la Oicha anasema

" vituo vingi vya Afya vimeisha simamisha shughuli, katika jumla ya vituo 26 vinavyo Unda jimbo la Afya 15 pekee ndivyo vinavyo tumika . Vinginevyo vilifungwa na vingine ku chomwa kili kuwemo pia kile cha musuku , kile cha mandumbi kili bolewa ila cha Mamovee kilichomwa pia na waasi . Tuna tumaini kwamba kazi ya ukarabati na ujenzi uta endelea ndiyo pendekezo letu , Suluhisho kubwa ni kupambana na utovu wa usalama hasa kushughulikia kinaga ubaga sababu za hali ya ukosefu wa usalama"
Alisema Dokta Chadrac SOHERANDA.

Eriksson LUHEMBWE