TANZANIA

MAKONDA AZURU KABURI LA HAYATI SAMWEL SITTA

JANUARI 27, 2024
Border
news image

Mapema leo Jumamosi, Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama.Cha Mapinduzi Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda atembelea na kuweka maua kwenye kaburi la aliyekuwa spika wa bunge la Tanzania Marehemu Samwel John Sitta kama ishara ya kumbukizi na kuendelea kumuombea kupumzika mahali pema Peponi katika makaburi ya familia yaliyopo Wilayani Urambo Mkoa wa Tabora.

MTV Tanzania