DRC KINSHASA

DRC YAFIKIRIA KUJENGA MIUNDOMBINU ZAIDI KWAKUKUZA MAENDELEO NA KUBALISHA MAISHA YA RIA WA

JANUARI 26, 2024
Border
news image

Waziri mkuu wa DRC pamoja na wadao katika secta ya maendeleo wafikiria njia mpya ya kufikia malengo ya Rais Felix Tshisekedi .katika Kikao ambacho kimesimamiwa naye waziri mkuu inchini DRC SAMA LOKONDE, wadao wanao kuwa katika secta ya maendeleo wali zungumzia mambo mbalimbali inayo weza kutekelezwa katika na serekali ya Drc kwa muhula huu mpyab wa miaka mitano.

Mukutano huo uli huzuriwa na ma waziri mbali mbali inchini DRC wahusikao na secta za maendeleo ya inchi akiwemo Vital Kamere waziri ahusikaye na uchumi wa inchi. Akizungumuza na duru zetu kuhusu kikao hicho ,Vital Kamere aliripoti ya kwamba miundo mbinu hiyo ni katika malengo ya kumuunga mkono Rais Felix Antoine Tshisekedi Tshilombo katika maono yake na uzalishaji wa miundo mbinu , kwa ajili ya ujenzi wa taifa la Kongo.

Miongoni mwa mambo muhimu ni pamoja na ujenzi wa barabara, viwanda, shule, hospitali pamoja na mambo ya mishati ndivio vita chukuliwa kipaombele kutekelezwa na hiyo itaunda ajira kwa ma elfu za wana inchi wa DRC.

NDIWELUVULA BIN MUTUME MTV NEWS Online