DRC KASAI

Wakazi wa Kasai Wafurahishwa na Kupungua kwa Bei ya Mahindi Siku Hizi Sokoni

JANUARI 18, 2024
Border
news image

Hiyo imetokana na kipindi hiki ambacho, wakaaji wa maeneo hayo ambao waliy anja vuna mazao ya shambani tangu December elfu mbili ishirini na tatu hadi sasa Jambo ambalo lime pelekeya kushuka kwa bei ya maindi sokoni.

Mutafahamu ya kwamba, juma mbili ambazo zime pita, kilograme tatu ya mahindi ilikuwa Iki uzwa kwa franga za Kongo elfu kumi na moja lakini kwa sasa ina uzwa kwa elfu ine franga za Kongo. Hali hiyo ime wafurahisha wakaaji wa maeneo hayo wanao endesha kazi za nyumbani .

Wakati bei ya chakula hicho kipendelevu cha endeleya kushuka bei sokoni, lakini bei ya vitu vingine via panda munara mukiwemo bidhaa mbalimbali vya viwandani. Licha la kupanda kwa bidhaa mbalimbali ya viwandani, akina mama wa eneo hilo warizika na kupungua kwa bei ya viakula sokoni.

NDIWELUVULA BIN MUTUME MTV NEWS ONLINE