DRC

Familia za watu walio uwawa na jeshi la serikali nchini Congo DRC waomba kupewa mili ya jamaa zao kwa ajili ya maziko

SEPTEMBA 12, 2023
Border
news image

Familia za watu walio uwawa na jeshi la serikali nchini Congo DRC waomba kupewa mili ya jaamaa zao kwa ajili ya maziko.

Donacien Iragi ana miaka Zaidi ya thelathini na tano anasema haja muona babae tangu tarehe thelethalini agusti iliopita huku babae alie zaliwa mwaka wa elfu moja mia tisa sitini na nne ana dhani kuwa katika chumba cha wafu cha Katindo ,katika hospitali ya kijeshi ya katindo aomba serikali kumpa mwili wa babae ili amzike kwa heshima kuliko kuacha mwili wake kuoza akisema Donacin Irangi akiwa na barakoa na machozi usoni.

Wengi wakijaribu kuingia katika chumba cha wafu cha katindo bila kufanikiwa kuwaona ama kuwapata watu wao ,kama Mungogishe ambae ametazama mili kadhaa bila kupata mmoja wa familia kutokana kwamba mili imeanza kuoza na kuleta harufu mbaya.huku wakiomba serikali kuwaruhusu kuzika watu wao kwa heshima kuliko kuachwa hadharani na mili yao kuharibika .

Mahakama ya kijeshi ikiendelea na kesi ,washutumiwa wakisema sio silaha zao ndizo zilizo waua wahumini wa kanisa za wazalendo Pamoja na wakaazi wengine wakati wa purukushani ilio tokea wakati wahumini wa wazalendo walipo panga kuandamana wakipinga uwepo wa kikosi cha Umoja wa Matifa MONUSCO.

Serikali kupitia Mea wa Mji wa Goma alisema hatua ya kuzia maandamano ya wazalendo ilitokana kwamba kulikuwa na taarifa ya watu hao kushirikiana na waasi wa M23 ambao wanapata Msaada wa kijeshi kutoka Taifa la Rwanda wakisema viongozi wa serikali Mjini Goma.swala linalo chukuliwa shingo upande na upande wa wazalendo wakisema ,taarifa hizo ni za uongo kwani wao ni raia na hawana silaha yoyote ila wanacho pigania ni taifa lao na kuwafundisha uzalendo wakaaazi wa DRC na Africa Nzima.

Mjadala mkali kwa sasa ukiendelea mahakamani kabla yah uku kusubiriwa kutolewa na mahakama ya kijeshi.

Waathirika wakiomba wote walio husika katika mauaji ya raia kwa mbali ama kwa karibu kuhukumiwa .

AM/MTVNWS