DRC SADEC

DRC SADEC YAAPA KUPAMBANA NA M23 NA MAKUNDI MENGINE MAshariki mwa DRC.

news image
AM
JANUARI 16, 2024
Border
news image

Akizungumuza na wanahabari kwenye makao makuu ya kikosi cha operesheni za kijeshi Kivu Kaskazini,Luteni Generali FALL SIKABWE asema SADEC wamekuja DRC kupambana na waasi wote watakao kaidi amri ya serikali.

Wakiwa na silaha nzito nzito na vifaa vya kisasa vya kijeshi wanajeshi kutokA Kusini mwa Afrivca SADEC hasa kutoka Malawi na Tanzania na Africa kusini wamekuwa wa kwanza kuwasili Goma ,miongoni mwa wengine kutoka SADEC ambao wasubiriwa kwa sasa wamewasili Mjini Goma kuungana na jeshi la Congo kurejesha usalama. Generali ni Jilius kamanda makamu wa kikosi hicho asema misheni yao kubwa kuleta Amani DRC.

Jeshi la CongoFARDC kwa uapande wao wakipongeza hatua ya SADEC kuja kusaidia raia wa Congo ambao wamesumbuliwa kwa muda mrefu na makundi ya waasi kutoka kwa mataifa jirani ya Congo DRC hasa lile la M23 .

Luteni Generali FALL SIKABWE mkuu wa majeshi ya ARDHINI ya Congo na kamanda wa operesheni za kijeshi Kivu amesema nguvu zote zitatumiwa kuhakikisha makundi ya waasi inatokomezwa na wakimbizi warudi nyumbani kwao kama alivyo haidia Rais wa DRC Felix Tshisekedi. Mashirika ya kiraia ikiunga mkono juhudi hizo akisema Placide Nzilamba mmoja wa wratibu wa shirika za kiraia Kivu kaskazini.

AM - MTV ON LINE