MALEMBANGULU

MUVUA ZINAZO NYESHA SIKU HIZI MALEMBANGULU YASABABISHA MAFURIKO NA MAAFA MAKUBWA DRC.

JANUARI 24, 2024
Border
news image

Katika mtaa wa Malembangulu, wakaaji wa kuwa katika hali ya hatari ya kukosewa chakula siku za hivi karibuni. Hii ni kutokana na hali ya uharibifu wa mazao ya shambani iliyo haribiwa na muvua iliyo nyesha eneo hilo hapo majuzi.

Kwa mjibu wa viongozi wa shirika la kirahiya mtaani humo, wakaaji hawa wakuwa katika hali ya hatari kubwa ya kukosewa viakula kwa miezi tatu ijao. Naye kiongozi wa mtaa wa Malembangulu atoa wito na yowe kwa viongozi wa serekali Ya DRC kwa kuwajia musaada wa asirika wa janga hilo ambalo lime sababisha uharibifu mwingi wa mashamba, makaazi na kazalika. Wa asirika hawa hawana musaada wowote kwa kukizi mahitaji yao.

NDIWELUVULA BIN MUTUME MTV NEWS Online