DRC

DRC Goma serikali ya Congo yashutumu jeshi la Rwanda kushambulia kambi za wakimbizi Mjini Goma.

MEI 06, 2024
Border
news image

Akizungumuza na wanahabari Mjini Goma gavana wa Kivu kaskazini Peter Cirimwami asema kwasasa ni watu kuni na nne (14)ambao hadi sasa wamepoteza maisha na wengine zaidi ya thelathini (35) kujeruhiwa baada ya waasi wa M23 kushambulia kambi ya wakimbizi ya Mugunga na Bulengo ijuma.

Cirimwami asema walio vurumisha bomu ndani ya kambi ya wakimbizi ni jeshi la Rwanda kupitia M23 ,bomu ambazo zilitoka kwenye milima ya Sake wilayani Masisi Kivu kaskazini.waazi wakitumia silaha za masafa marefu multi Rocket.

Umuja wa Matifa MONUSCO na UNHCR pamoja na mashirika mengine ikiwa na hofu kwaku shambuliwa wafanya kazi wanao saidia wakimbizi nakuwa kushambulia kambi za wakimbizi ni ukiukwaji wa haki za kivita na haki za binaafamu.

Serikali ya Congo DRC imeomba jumhia ya kimataifa kufanya uchaguzi wa kina kuhusu mashambulizi hayo ya kambi ya wakimbizi magharibi mwa Mji wa Goma ambako bomu sita zilinguka ndani ya kambi.

AM/MTV DRC ONLINE